Thursday, October 9, 2014

AZANIA BENKI NA MAFUNZO YA WAJASILIAMALI WADOGO KAKOLA

 mfanyakazi kutoka Benki ya AZANIA Tawi la Kahama akitoa huduma katika semia ya wajasilimali wadogo iliyofanyika katika kata ya kakola Halmashauri ya Msalala
 Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kakola Bombeda akiongea na wajasiliamali
 baadhi ya mabango yanayoonyesha shughuli zinazifanywa na benki ya AZANIA.
 Waandishi wa habari nao walikuwepo katika mafunzo hayo.
 Meneja Benki ya AZANIA Tawi la Kahama Geofrey Mahona akiendesha mafunzo
 kama kawaida tulikuepo vierehere
 baadhi ya washiriki wa Semina hiyo ya wajasiliamali
 Meneja akisisiza jambo
 kulikuwa na vipeperushi vikipatikana  katika Gazebo nje ya ukumbi wa semina
 ACCOUNT YA WATOTO
 Semina ikiendelea
 mafunzo yakiendeshwa na Meneja
 Athumani akigawa vipeperushi
 AFISA uhusiano wa Benki ya AZANIA Mwenye shati nyeupe wakiendelea kuhudumia wateja
 washiriki wa semina hiyo
 wakiwa ukumbini
 Meneja akiendelea na mafunzo
Dhamira account ni account mpya ya benki ya AZANIA