mfanyakazi kutoka Benki ya AZANIA Tawi la Kahama akitoa huduma katika semia ya wajasilimali wadogo iliyofanyika katika kata ya kakola Halmashauri ya Msalala
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kakola Bombeda akiongea na wajasiliamali
baadhi ya mabango yanayoonyesha shughuli zinazifanywa na benki ya AZANIA.
Waandishi wa habari nao walikuwepo katika mafunzo hayo.
Meneja Benki ya AZANIA Tawi la Kahama Geofrey Mahona akiendesha mafunzo
kama kawaida tulikuepo vierehere
baadhi ya washiriki wa Semina hiyo ya wajasiliamali
Meneja akisisiza jambo
kulikuwa na vipeperushi vikipatikana katika Gazebo nje ya ukumbi wa semina
ACCOUNT YA WATOTO
Semina ikiendelea
mafunzo yakiendeshwa na Meneja
Athumani akigawa vipeperushi
AFISA uhusiano wa Benki ya AZANIA Mwenye shati nyeupe wakiendelea kuhudumia wateja
washiriki wa semina hiyo
wakiwa ukumbini
Meneja akiendelea na mafunzo
Dhamira account ni account mpya ya benki ya AZANIA
No comments:
Post a Comment