Wednesday, June 4, 2014

WARSHA YA MPANGO WA UHAMASISHAJI WA UWAZI KATIKA MAPATO YA MADINI, GESI ASILIA NA MAFUTA (TEITI) WUILAYANI KAHAMA.

 washiriki katika warsha ya Mpango wauhamasishaji Uwazi katika mapato ya Madini , Gesi na Mafuta ( TEITI)
 Mmmoja wa Wawezeshaji kutok katika Wizara ya Madini na Nishati akisisitiza jambo
 Mgeni Rasmi katika Warsha hiyo Katibu Tawala Wilaya ya Kahama Julius Mushi akiwa Afisa Madini Mkazi Wilaya ya Kahama Sophia Omary mwenye Miwani
 Washiriki katika Warsha hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na  Mgeni Rasmi Julius Mushi pamoja na maafisa kutoka katika Wizara ya Nishati na Madini
 Maafisa kutoka Wizara ya Madini Amani Mustafa akiwa na Catherine Mbatia
 Wakiwa katika Warsha
 Mwezeshaji kutoka Wizara ya Madini na Nishati Athumani Kwariko Afisa Utaratibu TEITI
 Baadhi ya Washiriki walioshiriki warsha hiyo Anna Mwakyusa Afisa maendeleo ya jamii Kata ya Bugarama
 Mzee Majabe Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wadogowadogo Mkoa wa Shinyanga
 Mshiriki katika Warsha hiyo akitoa hoja
Washiriki wafuatilia kwa makini warsha hiyo

No comments:

Post a Comment