HIZI GARI ZA WANYARWNDA ZINAZOTUMIKA KATIKA KUTOROSHEA MADINI YA TIL (BATI)
HAPA NI KYERWA MOJA WILAYA MPYA HUKO MKOANI KAGERA
HAPA NI KATIKA MAHOJIANO NA BAADHI WANAKIJIJI KUHUSU MADINI YA BATI YANAVYOTOROSHWA KWENDANCHI JIRANI YA RWANDA
BAADHI YA NYUMBA NA MAENEO YALIOKUWA YAKIMILIKIWA NA WAZAWA YA STAMICO NA SASA WAMEPANGISHIWA WANYARWANDA
WACHIMBAJI WA TIL WAKIWAKAZINI
ENEO LA KIJIJI CHA KABINGO AMBALO WACHIMBAJI WADOGO WA BATI WALITOLEWA NA AFISA MADINI
BAADHI YA MACHIMO MAKUBWA YA MADINI YA TIN
HAPA TUKIWA NA MWENYEKITI WA WACHIMBAJI MWENYE KOFIA
ENEO LA KABINGO KAMA LINAVYOONEKANA KWA MBALI AMBAPO MAARUFU KWA UCHIMBAJI WA TIN
MAJENGO YA STAMICO YANAYOPANGIWA WANYARWANDA
FAMILIA ZA WANYARWANDA
WACHIMBAJI WAKIWA KAZINI
TUKIWA KATIKA MAHOJIANO NA MMOJA WA WANYARWA WALIOKUJA TANGU SIKU NYINGI KATIKA ENEO HILO
MACHIMBO KAMA YANAVYOONEKANA
MWENYEKITI WA MGODI
HAYA NDIO MADINI YA TIN AMBAYO HUUZWA SHILINGI 15,000 KWA KILO
TUKIONYESHWA SAMPO YA MADINI HAYO
HAPA NI KARAGWE MKOANI KAGERA
HOTELINI
MMOJA WA WANUNUZI WA TIN AMBAYE NI MAMA WA KINYARWANDA AKIKIMBIA KAMERA
No comments:
Post a Comment