mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Kahama Elias Haway kuhusu shamba lillilokuwa limelimwa Bangi katika Kijiji cha Mega
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akitoa maelekezo
Mpesya akiongea na Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kahama Twaha kuhusu Bangi ya hekari moja iliyokuwa imelimwa katika eneo la tukio
Mmoja wa Wanakijiji akiwa ameshika Bangi iiliyokuwa imelimwa katika eneo hilo
Mkuu wa Wilaya akitoa maelekezo kuhusu kukamatwa kwa Mtendaji wa Kijiji cha Mega aliyelima Bangi hekari moja ndani ya Shamba la Mahindi
Mkuu wa Upelelezi Twaha akisikiliza kwa makini maelekezo kuoka kwa Mkuu wa Wilaya Mpesya
No comments:
Post a Comment