Monday, May 26, 2014

CRDB KAHAMA YATOA MSAADA WA MADAWATI 20 SHULE YA MSINGI MALUNGA

 Madawati 20 yaliotolewa na Benki ya CRDB katika shule ya Msingi Malunga Wilayani Kahama kwa lengo la kupunguza tatizo la wanafunzi kukaa chini

 baadhi ya Maafisa wa Benki ya CRDB pamoja viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama wakipata maelekezo kutoka katika ofisi ya Mwalim Mkuu Malunga
 Meneja Benki ya CRDB Tawila Kahama Luther Mneney akitoa Maelezo mafupi katika hafla hiyo
 Afisa Elimu Misngi Halmashauri ya Mji wa Kahama Aluko Aluko akitoa shukrani kwa kupata msaad huo wa Madawati
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Felix Kimaryo akielezea mpango mkakati wa Halmashauri yake juu ya kuboesha sekta ya m madawati katika Mji wa Kahama

 Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Msingi Malunga wakiwa wamekaa katika Madawti hayo mapya.
 Meneja CRDB Luther Mneney akipokea Madawati 20 kutoka kwa Meneja wa CRDB Tawi la Kahama
Walimu pamoja na Viongozi mbalimbali wa CRDB wakiwa katika picha pamoja

No comments:

Post a Comment