Mwandishi wa Habari hizi akiwa katika Bonanza hilo
Mambo ya nyama za kuchoma nazo Barrick waliandaa kupitia Bonanza hilo
Afisa Mahusiano Mgodi wa Buzwag Msofe akiwa na Mwanae katika Bonanza hilo
TBL nao hawakuwa nyuma
Kama kawaida
Watu wakendelea kupata supu
Baadhi ya maafisa wa Serikali wakiongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Felix Kimaryo mwenye shati la kitenge na pembeni yake ni Kaimu Meneja Mgodi wa Buzwagi Amosi John
Watoto nao hwakuwa nyuma katika Bonanzahilo
Meneja Mahusiano Mgodi wa Buzwagi Blandina Mughezi akiteta jambo na Mtumishi mwezie
mambo yalikuwa ni mazuri
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akihutubia wageni walifika katika Bonanza hilo
Mpesya akiongea
Mshindi wa mbio za Kuku akiwa na zawadi yake
kama kawaida
timu nazo zilishiriki
No comments:
Post a Comment