SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI YA SIKU MBILI YA KUHUSU TOHARA KWA WANAUME MJNI KAHAMA YALIOANDALIWA NA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA INTRAHEALTH KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI |
DR. NICHOLOUS MBASSA MWEZESHAJI WA MAFUNZO YA TOHARA KWA WANAUME KITAIFAAKIELEZEA JUU YA ATHARI ZA MWANAUME AMBAYE HAJAFANYIWA TOHARA KWA WAANDISHI WA HABARI |
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKICHANGIA BAADHI YA MADA ZILIZOKUWEPOKATIKAMAFUNZO HAYO |
MAFUNZO YAKIENDELEA |
DR. MBASA AKIELEZEA WAANDISHI WA HABARI JINSI YA KUVAA KONDOM |
PROGRAM OFFICER WA INTRAHELTH INOCENT MBUCHI AKICHAGIA MADA |
ZOEZI LA TOHARA LIKIENDELEA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA KAHAMA CHINI DR. MBASSA |
MMOJA WA WAHUDUMU WAKIWA KAZINI |
TAKWIMU ZA WAHUDHURINAJI KATIKA TOHARA HIYO WILAYANI KAHAMA KWA KIPINDI CHA MIEZI NINE ILIYOPITA |
WAANDISHI WA HABARI WAKIENDELEA NA MAHOJIANO KWA WAHUDUMU WA ZOEZI HILO KATIKA KATA YA NYANDKWA MJINI KAHAMA |
MHUDUMU AKITOA ELIMU KWA VIJANA KABLA YA KUINGIA KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI TAYARI KWA KUFANYIWA TOHARA |
WAANDISHI WA HABARI WALIOHUDHURIA KATIKA KAMPENI HIYO |
WANANCHI WAKISUBIRI HUDUMA YA TOHARA NYANDEKWA |
BAADHI YA VIFAA VINAVYOTU,IKA KATIKA KUFANYA TOHARA KWA WANAUME
No comments:
Post a Comment