Tuesday, August 12, 2014

MASHINDANIO YA MBIO ZA BAISKELI YA KILOMETA 150 KUTOKA MJINI KAHAMA HADI TINDE YA KILOMETA 150 YALIODHAMINIWA NA MGODI WA DHABU WA BARRICK BUZWAGI

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Jidulamabambasi akifungua mashindano ya Baiskeli ya Kilometa 150 yaliodhaminiwa na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick Buzwagi
 baadhi ya washiriki wa Mbio za Baiskeli za kilometa 20 kutoka Mjini Kahama hadi katika mji wa tinde
 Washiriki wakiwa barabarani
 wakiendelea kuchuana
 Mwandishi wa habari hizi akishangaa washiriki
 gari hili lilibeba washiriki walioishia njiani na kutoweza kuendelea na mashindano
 Burudani pia zilikuwepo wakati wa ufunguzi
 tukiendelea kusubiri kunjza kwa mashindano hayo
 wengine pia walipata ajali na kutoweza kumaliza mashindano hayo kama wanavyoonekana
 Muumini Mwinjuma Double M saund nae aliburidisha wageni waliofika katika hitimisho la mashindano hayo
 Meneja Mgodi wa Mahusiano Mgodi wa barrick Buzwagi Necta Foya akitoa neno kwa niaba ya Mgodi huo
 Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Kambarage wa Kambarage akitoa nasaha katika mashindao hayo
 Foya akiendelea kutoa maelezo kwa naiba ya Magodi wa Barrick Buzwagi
 Baiskeli zlizoshiriki mbio za kilometa150 zikiwa jumla ya baiskeli 80
 Mratibu wa Mashindano ya Baiskeli Mkoa wa Shinyanga Solomoni Mataba akitoa neno katika mashindano hayo
Mmoja wa maafisa Mahusinao wa Mgodi wa Buzwagi Blandina Mughezi akiwa katika chakula cha Mchana katika hotel ya Golden Valery Mjni Kahama
 1
Mwandishi wa habari hizi akiwa katika pozi
washiriki wa kike nao walikuwa katika mashindao hayo

No comments:

Post a Comment