Monday, May 12, 2014

BARRICK YAENDELEA KUSAIDIA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA KAHAMA

 Mkuu wa Wilaya ya KAHAMA Benson Mpesya akiongeza na Viongozi wa BARRICK (ABG) ya ujenzi wa barabara za lami mjini Kahama.
 Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akiongeza katika kikao hicho
 Wawekezaji wa Barrick Mining Meneja Mgodi wa Buwzagi Filbet Rweyemamu akitoa maelekezo juu ya ujenzi wa Barabara hizo za lami
 Wawekezaji hao wa ABG wakiangalia barabara hizo zlizofadhiliwa na Mgodi huo
 Waandishi nao walikuwepo katika kuhakikisha ujenzi huo upo imara
 Kikazi zaidi na Blandina Mughezi Afisa mahusiano wa African Barrick Gold
 Wawekezaji hao wakikagua barabara hizi
 hapa Waandishi wa habari wakiwa katika bas
Barabara hizo zilizogharimu Bilioni 3,5 huku Serikali ikitoa kaisi cha MILIONI 700 kama zinavyonekana

No comments:

Post a Comment