Mwenyekiti wa Mdahalo wa mradi wa Haki unaofadhiliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SEARCH FOR COMMON GROUND Godwin Kitonka unaojumuisha wadau mbalimbali wanaoishi kando ya Migodi ya Barrick Buzwagi, Bulyanhulu pamoja na North Mara
Mjumbe anayewakilisha Wafanyakazi Victor Tandise akichangia mada
Akiendelea kutoa hoja katika Mdahalo huo
Kaimu Mkurugeni wa Halmashauri ya Msalala akichangia mada
Baadhi ya Washiriki katika Mdahalo huo wakisikiliza hoja zinazotolewa kwa makini
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kahama Juma Ntahimpera mwenye nguo za Bluu akisikiliza mada ya Haki
Patricia Loreska Meneja Mradi wa Haki kutoka ofisi ya Makao Makuu Dar es Salaam
Mgeni Rasmi katika Mdahalo huo Alfred Mtaule kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya akisoma Hotuba ya ufunguzi
Mshiriki kutoka Kampuni ya Barrick Buzwagi Bahati Mwambene akichangia hoja
Washiriki kutoka African Barrick Bulyanhulu nao walikuwepo
Meneja Mradi
Mwenyekiti Godwin Kitonka
Mratibu wa Mdahalo huo Lazaro Mapimo akitoa neno
Akisisitiza jambo
No comments:
Post a Comment