Friday, June 6, 2014

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI WILAYANI KAHAMA

 haya ni majiko ya gharma ndogo ambayo yanatengenezwa ili kudhibiti hewa ukaa
 Majiko hayo kama yanavyoonekana katika kilele cha siku ya mazingira Iliyofanyika kiwilaya katika kata ya Nyandekwa mjini Kahama
 Washindi wa tuzo ya Mazingira kitaifa Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Andarleck ya Mjini Kahama wakiwa na mzee KADONYA Mshindi wa tuzo ya Mazingira kimkoa
 Wanafunzi hao wakiwa katika picha ya Pamoja na Mzee Kadonya Nyumbani kwake katika kijiji cha Nyandekwa
 Mzee Kadonya akiwa na Mkewe
 Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kahama pamoja na Wakuu wa Idara walipomtemblea Mzee Kadonya kujifunza jinsi ya utunzaji wa mazingira
 Shamba la miti analomiliki mzee Kadonya kijijini kwake NYANDEKWA
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Anderrlek wakiwa katika picha ya pamoja na mzee Kadonya
 Barrick nao hawakukosekana katika siku hiyo ya mazingira
 Ngoma nazo zilikuwepo
Kampuni ya African Barrick Gold walionyesha maonyesho ya bidhaa mbalimbali

No comments:

Post a Comment