HILI NI KANISA AMBALO LILILIPULIWA NA MAJESHI YA IDDI AMINI KATIKA VITA VYA KAGERA LILIPO KATIKA WILAYA YA MISENYI MKOANI HUMO
HILI NI DARAJA LA MUDA LILILOWEKWA NA WANAJESHI WA TANZANIA BAADA YA LILE LA MWANZO KILIPULIWA NA WANAJESHI WA NDULI IDD AMINI 1978
KANISA LILILOLIPULIWA NA MAJESHI YA AMINI KAMA LINAVYOONEKANA
HUU NI MTO KAGERA AMBAO HAUKAUKI KWA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA
TUKIWA KATIKA DARAJA LA MTO KAGERA
KWA HER MISENY SASA UNAINGIA MANISPAA YA KAGERA
KARAGWE MOJA HIYO
DARAJA HUKO WILAYANI MISENYI
HAPA NI KATIKA MACHIMBO YA TIN YAANI BATI HUKO KATIKA WILAYA MPYA YA KYERWA MKOANI KAGERA
WANUNUZI WA MADINI YA TIN KUTKA NCHI JIRANI YA RWANDA
HAPA NI KATIKATI YA DARAJA LA MTO KAGERA HUKO KYAKA KAGERA.
No comments:
Post a Comment